Elnino ndio imefika Uae

@Lab hope uko kejani already. Am on Sheikh Zayed road na ile jam iko ni mambo biad. Ile mvua imenyesha hapa sijai ona tena. Just seen majamaa ndani ya boat wakielekea home.

1 Like

mbisha mzito

5 Likes

mbisha kanono

HarAkisha ukakamue ngamia za Abdul

1 Like

Picha ama nikuwekeree viboko mbili Kama Mrs Karanja

3 Likes

evidence

Mbica ndo hio

[ATTACH=full]33389[/ATTACH]

8 Likes

Sasa kazi ya kuosha matako ya Mzee Abdul Mafudhi imepungua. Unamweka nje kwa mvua anyeshewe akuwe msafi

17 Likes

not true

mbisha ya mjamaa akiwa kwa boat

5 Likes

Abu Dhabi - United Arab Emirates
Wednesday 9:00 PM
Clear with periodic clouds

3 Likes

Hio mboat imepita spidi sikuwa na time ya ku.aim and click. Maybe next time, sawa

1 Like

hio mvua ni safi huku kukinyesha…sewerage pia huwa part ya mvua.

2 Likes

Wee mkambodia siukona umama :smiley:

Habari ndo hii

hataaar sana

Kanono, nitakuwa nastay karibu na Al Fahidi metro during Easter. Nataka unishow uradi zote za iyo mtaa isipokuwa za kuwasha nduthi.

19 Likes

Unawashaje nduthi kwa mvua?

Karibu kaka braza. Will you be tagging mrs along ndo nijue ma.areas za ku.avoid

Nafunika tu na umbrella na inawaka

1 Like