Elias Paul

Mwalimu aliingia darasani akauliza wanafunzi wakitoka shule huwa wanafanya nini???

Mwanafunzi wa kwanza “ninaenda kwa Elias Paul kununua bangi”

Mwanafunzi wa pili “hua naenda kwa Elias Paul kununua sigara”

Mwanafunzi wa tatu “hua ninaenda kwa Elias Paul kununua gongo”

Mwanafunzi wa nne “hua ninaenda kwa Elias Paul kununua madawa ya kulevya”

Mwanafunzi wa tano “hua nnakaa nyumbani ninajisomea na kufanya home work”

Mwalimu; safi sana kijana unaitwa nani???

Mwanafunzia; Elias Paul

Ungekuwa Mwalimu ungemfanyia nini Elias Paul?

©team copypaste.

Look for the right category to post this (hata kama ni kwa religion), am sure it doesn’t belong here

FIRST THINGS FIRST…Before Elias Paul…Ninge practice na wewe hii styro…
[ATTACH=full]23817[/ATTACH]

1 Like