@Kalenjin101 na @FieldMarshal CouchP ongeeni na ngombe yenu… munaua biashara buana… meffi nyi wote
[MEDIA=twitter]1618212747052736513[/MEDIA]
[ATTACH=full]492425[/ATTACH]
zile countries za Africa wakenya hudharau na kuziona ziko nyuma zinauzia citizens wake umeme bei ya chini zaidi kushinda kenya.
Jambass anamumunya stima
@Titty Twister nikikwambia mnabebwo tothi bongo mala, sio kwa ubaya
This comes barely weeks after President William Ruto promised not to increase power costs following the end of the year-long 15 percent power prices cut in January last year.
biggest “individual” shareholder haimanishi yeye ndio biggest shareholder.
Aseme who the owner of the money is, tunajua ni nani
i know. but you know biggest ‘individual’ shareholder in kplc is heavy weight?
Njaruos are ferking predictable…ngojeni Ruto afanye kazi.
Unga is now at 270 from 230 and going down.
Just wait and see…
ebu enda uconfirm ni pesa ngapi kwanza. ujue tofauti ya largest “individual” shareholder na largest shareholder pia.
Mnaona tothi bongo mala
[COLOR=rgb(61, 142, 185)]#rutoout
unga ya 50 bob itatoka wapi kama wakenya hawalimi, na hawataki kula gmo?
mkitaka Ruto atapea marafiki zake wenye wako na mills pesa, muuziwe unga 40 bob halafu serikali iwalipie io 180 bob iko juu. io 180 itatoka kwa ile pesa yenu ya healthcare.
Tell them Rasta
Miller’s waagize mahindi duty free non GMO enough to bring down UNGA to 40bob nikii mani. Just have a sit down with them and tell them this is what’s expected.
Hii photo hunimaliza
sa ii mahindi ile cheapest ni 40 bob per kg bila kuconsider bei ya transport hadi port ya mombasa.