Hizo tuktuk za mafuta zinakelele mingi sana
Not really.. watu wa short distances ndio watazitumia. Again maintenance itawapiga chenga sana investors
Heheee hizi zitaingia Mombasa kufanya short routes
Stop being overly excited by small inconsequential things. Utakaa Kwa electric tuktuk from Thika or Kitengela to town? Bellevue kukinyesha utapita aje?
Shida Iko 750k. Afadhali ununue Nissan second hand
Petrol tuko tuks are very nice.
Alafu battery iki chapa ni mia mbili elfu
Kadere WA trailer ameshangaa kadudu Kanadai aje?
not viable
Unauzia ideas Uyo jamaa ako apo juu
Bora asaidike, everywhere huwa naona business, hizo batteries na motors unazishika mapema unakuwa na jina kama pioneer, unakula mzuri kabla market ijae
Very noisy though
How was tuktuk allowed on the Kenyan roads as a means of transport?
Speed - n/a
Safety - n/a
Comfort - n/a
Aesthetics - n/a
These are the essentials that must be considered before a vehicle is declared fit to transport people. But somehow we use them bila swali and life goes on.
No. Diesel ones are the noisy.
Petrol tuktuks ata zikiwa idling zingine huwezi skia kama zinaguruma
Strength yake ni ati iko na advantage ya nduthi na ya gari ndogo. Hard to beat that. Plus it’s simplicity to fix and cost of parts
sasa tuktuk unaeka funguo ya nini. Si mwizii akiitaka anaekelea tu kwa mgongo
Sijai panda ya petrol.. ziko?
Shida ya tuktuk ni rumblestrips zinaeza fanya spine yako itokee juu ya kichwa.