ELECTION

Hawa jamaa wanaweza nilipia fare niende kuwavotia??? Nimesota na fare imepanda twice ndipo tusiende Ku elect our leaders. Sasa naona Uhuru akipoteza kura yangu juu sitavote