Eldoret

Wakubwa next week nataka kuenda Eldi any leads to reliable transport means. Nimepata links za Facebook lakini naogopa naeza pelekwa nichinjwe weeh.

@Agwambo @Chiefguest any reliable links??

You can’t get there.Saree hiyo story

Inbosk

Finally, utatoka kwa mama

Fika nakuru, hautakosa way out

Hio sijaskia, but be careful, so many conmen promising to take you there and dissappear with your money. There are also cases where you put your mzigo in the car that is supposed to ferry guyz mnaambiwa gari inaenda ku fuel and they dissappear with your bags.

Ntakua Naks from Tuesday morning. Kama utakua around nunua drinks kabla waku con pesa in the name of kufikishwa Kericho:D

inakuwa mtu atanifikisha Eldi kutoka naks?

Nisare story ya kuenda Eldi ama kusaka links online?

Unajua place naks naeza pata gari. Kuna biashara inanipeleka huko iko urgent sana.

Kwenda Eldi,jaribu lakini unaweza angukia…najua jamaa walirudishwa halafu kabla wapate place ya kulala wakashikwa juu ya curfew,double tragedy

Tall Mnyama is a very poor man… Bag kuibiwa haiwezi mpeleka hasara… Ju ndani ya bag yake hakuwezi kuwa na valuables… Labda kajacket kamzee na chupa ya mineral water

Fika Naks niku link na mtu genuine if you don’t mind keunda na lorry (zile zinakuanga zimeandikwa kaburu ndogo) . Hizi ma gari ndogo ni ma conmen tupu.

Na condom

:D:D:D:D:D:D:D ni sawa

Enda upande those Toyota Noah’s near afya center

tall mnyambo everywhere you only need 500 kuvuka roadblock

From nairobi buy your way to nyeri through thika then drive to nyahururu then laikipia from there take the rough road to kabarnet then climb your way to Iten then finally land on eldoret na uniitishe contact ya lanye wa kurudishia mwili ahsante

?

After abusing me the whole day litsen carefully.
1.take mololine from Nairobi to nakuru.
2.from nakuru take burnt forest Sacco or any matatu going to kamara.
3.from kamara take a motorcycle to bypass the protectors.( They are plenty.ie the boss boss guys).
4.after passing take a matatu on the other side for eldoret.

Coming back.use the same routine.

This is the most useless lockdown ever.

Those Noahs nazo. Aii hamuogopi hio overspreading. Where do you get the courage to board those vehicles?

Nigga hana gari elder