Eldoret

Wakubwa eldoret njia poa ya kuenda kutoka nakuru ni hiyo ya eldama ravine ama ni gani?
Alafu niambieni hoteli CHEAP ya kuspend eldoret. sijawahi kuwa huko. Na musiniambie madanguro na hoteli za kunguni tafadhali.

Just take the direct route, Mau Summit Timboroa

Enda tu kutoka Eveready moja kwa moja bila kudivert utajipata Elteret!!!

Na ukumbuke askari wa kupima speed ni wengi njiani… Zile za 50kph kwa urban areas huwapata wengi , kwa hivyo tahadhari.

Enda eastleigh utapata clean 500 Bob lodge

kuna eastliegh huko?

Unataka kununua gomba ama coomer ya warges? Iko

Hio barabara ya ravine ni mbovu bwana.

Sio mbovu Ila ni kms mingi.

Ended up at white highlands inn. clean enough, quiet and has a compound so you park anywhere. has restaurant, choma, bar, good wifi etc

Went through timboroa-burnt forest. how do you pronounce that “burnt”?

It was once a forest then it burned and hence the name burnt forest

baant

Back in NBI wameli. Exactly 4hrs 50 min