ELDORET County askaris

[MEDIA=twitter]951509953654779910[/MEDIA]

Hahaha hawa ndo walikua wanasema juzi tano tena na mabuses miambili wakienda Nairobi kuapisha wakora fimbo chapaaaa senji

I see no correlation between ‘Tano Tena’ and abuse of Human Rights.

Sore losers.

Sack them all na watupwe kamiti.

Sack them all na ni wandani wa gavana!..do you want our people to be sacked. Ume sahau juzi juzi hawa ndio walikua wana uwa ‘wajaruo’ in the name of politics

those guys normally stone the county askaris…wamepewa soko kufanya biz hawataki…if you have been there utajua what am talking about.A hawker is always a hawker.

heri ushikwe na police na sio kanjo…

Just like governor 001

Leo haujasema “[FONT=Times New Roman]Tano tena * 3[/FONT]

Nairobi pia hivo hivo this is nothing new…You give space hawa hawkers na county inaenda at a loss because hawalipi the required taxes

Unrully demonstrators should be dealt with the seriousness they deserve. Piga kabisa!

@KeleleZa Chura = Denis papa

[ATTACH=full]150355[/ATTACH]

Mtu kama uyu aniguze afu nijue kwako, Pole sana kwa yatakayo kupata.

sad to see people destroying food over stupid shit

hao kanjo ni mafala vile napenda sweet bananas na maembe dodo wangeweka hizo fruits zote kwa lorry before kufungulia raia rungu

Wueh! CSI halali

stupid askaris .

Tandika kabisa hii manugu. If you’ve been to the town of late you’ll understand. Mtu anatandika box nyuma ya gari yako kwa parking halafu ukimwambie asonge utoke, anasema ungoje auze ndio aondoke and the other fellow hawkers support him. And yet wametengenezewa soko smart kabisa na mandago. Vunja miguu kabisa Mandago, dont relent

CSI ako kazii :D:D:D

Wengi wa hao hawkers ni kyuks, lunjes or kales?