Elders wengine hamjui tumetoka wapi

Equipment ilikuwa 45k, usitake kujua ni equipment gani.

Installation charges 30k.

Free 40 MB data.

40 MB

4 Likes

I remember the dial up…and that ka noise it made when connecting…
Who here used the kplc booths, and knew how to tap tap to make free calls?

3 Likes

Wueh!!!

1 Like

Nilitumia ya KP&TC Ile ilikuwa inachukua bob zile kubwa unaload hapo juu before zingine za digital display na inachukua modern coins ziingie na unafunga mlango for maximum privacy before scrap metal dealers waanze kuiba hizo milango.

Dynasties walikuwa na blue booth ya kadi.

4 Likes

2009 enzi za edge na gprs hiyo ilikuwa kama 2gb sawa hii.

5 Likes

Dial up ilikuwa inacost ngapi.

1 Like

umeconfuse @Benn_Dover zaidi. story za edge na gprs hajui

3 Likes

Can’t remember. It’s was kptc and not kplc

Kidogo hapa nimepotea cause pia hiyo time tulikua tunaishi ocha. Ilikua expensive bana, 45k!

1 Like

Kulikua na call booths za kencell unanunua kaadi ya 100/- then you insert and talk. Who remembers that one

Real elders used this.

40 MB saa Hii ni voice note Moja ya Whatsapp ya dakika mbili ama tatu

What are you people talking about?