nyaus
Hawa ni jamaa Kamiti na Industrial Area tough conmen watakuswindle easily ushangae
5 Likes
Why not call their bluff? Wakisema tuma fare unawaambia upon held up na uko na cash only huwezi enda kwa Mpesa wachukue Uber ama nduthi utalipa wakifika.
2 Likes
Mimi wakisema tuma fare thatβs how I end the conversation. Saa hii kuna scam elders hawata epuka Simu ni ya mkopa lipa isifungwe.
2 Likes
Elder unapitia mengi saidi.. hizi type huwa ni one touch tu.. na wamejaa mtaani kwa wingi. Mshikie njiva za karae na kuku na umsho baze na hivo tu unapata stock ya December
2 Likes




