Elders Tuambiane Ukweli

kama mbwa zako wenye unawalisha wewe mwenyewe zinakubwekea na kukudharau, na zinaheshimu wageni, shida ni mbwa ama ni wewe?
Wewe kama mzee wa boma Watchmen wanakudharau, mboch hawakupi heshima, shida ni wafanyikazi ama ni wewe umejikoseshea heshima?

Fukuza hio hio @WatchmanOnTheWall na @Mboch Kiburi heshima idumu. Kweni iko nini

Respect utapewa kulingana na venye umejiweka na unajibeba. People can talk shit about you to people but the ones being told that nonsense wakose kuamini and continue respecting you because of how you carry yourself.

You choose your company and respect is earned, not forced.

If you decide to appoint chokoras as your henchmen, watchmen and mboch, the result ni ile ile… :D:D:D

It all started with the 54%, ama? :wink:

[ATTACH=full]347611[/ATTACH]

[ATTACH=full]347612[/ATTACH]

[ATTACH=full]347610[/ATTACH]

Umeffi, hii tabu yote hutaipata ukiwa na pesa. No time negotiating for respect.

But Uhunye is not a pauper

Mwanamke akiwa mangaa rudisha kwao. Kick her out. Shingo haiwezi pita kuchwa.

Don’t use parables and similes on ktalk. Just use the real names

Wisdom detected