ELDERS, SEEK YE FIRST THE KINGDOM OF CASH, AND ALL THESE WOMEN SHALL BE ADDED UNTO YOU!!

You aren’t used to drinking beer, the ratio of foam and beer in that glass gives you up.

That interior decor looks very cheap. Hizo drums wamejaza ndani mchanga

Hapo sawa elder. Next time upgrade to Chivas Regal 21Y.O. DON’T marry and DON’T have niggalets utakua swaambambaaa!

Next time unatuambia vile wasichana wamejaa make sure ata waiter mmoja ametokea. Hapo naona club imeeka watu wa nduthi na madere wa mat…

Amen! Finest Wine, this love between us will stand the test of time!

Wewe endelea kusukuma mkokoteni hapo marikiti. Achana na sisi wenye tumeweza bana!

Yes man… hiyo ni design!

Asande sana muesimiwa!

usijali kaka , uko poa - mi hukunywa keg na bado na enjoy

:D:D wee endelea kukunywa keg, hii klass yangu wewe huwezi

Kweli kabsa… nitawapea fidbak omwami!

Wee nyamaza, kama huna kakitu sema nikuwekee kidogo Mpesa ukatoe stress!

Picha hapana, MCA ni member wa kijiji. Lazima code of ethics idumu man!

Hizi drinks si za kutafuta pesa:D:D:D

Ata staki kuweza. Kuja Kisumu hapa The Vic nikuonjeshe Keg…
[ATTACH=full]328456[/ATTACH]

unaharibu guinness bwana.

:smiley: eish!! Hamna huruma

Hii ilikua beat ya morning parade pale milimani primo. Umenirudisha tbt mbaya:D:D:D

Stout diluted with coke is a BIG. NO
Enyewe kwani wakunywa foam tu?

@Teddy_time Buda tulia ameskia
:D:D:D:D