Nimekuwa nikiiba pesa ya kampuni lakini siku ya nyani imefika …nimenaswa ile siwezi jitoa…sijui nipotelee wapi
@Contractor kamu kiasi
Patia auditor mkia maybe atafunga jocho moja
Tupee details…
If you have stolen good money, disappear to congo forest through Tanzania but if you have stolen small money you are very stupid
Pole kaka, lakini wakati ulikua unaiba you didn’t tell us or even offer to buy us pombe. So in short pambana na hali yako na uombe siku ya kufika jela onyi awe na lube.
I hate thiefing employees.
Nimeshikwa juu ya tamaa…kitunguu nimenukisha sawasawa
Kama ngumu kama Gumo.
Just deny the allegations, and sue them for wrongful dismissal
Kama ni pesa ya maana you can go to mombasa and find the places people hide and live there for some months. Kuna watu hufanya kazi ya kuficha watu wanajificha for a fee.
Tell us more details. We could perhaps help you. Like, how much did you steal?
Call their bluff if it really gets serious wakupelekee kortini. Lipa bail halafu Anza cat and mouse Na Hao kortini. Very few corporate types have the patience for court processes. They consider mingling with riffraffs in court beneath them. Besides, several key witnesses might move to greener pastures hence reduced interest in testifying against you. I mean kama auditor ama system administrator alikushika ukitoka Wakanda amepata kazi ingine mayolo what would be his motivation kupanda Boeing kuja kesi iko Kibera ama makadara law courts?
Kuja bikufiche loot tukate 50.50 ni ngapi by the way?
Well, let’s hope they give you a quick death. Two bullets to the back of the head is quite merciful in my opinion.
Over 10 million
Unifiche wapi gathee
Did you invest ama uliikojolea yote?
Anyway kuna ploti nauza pale Joska ukielekea Kware.
That 10m is probably over a period of time, anyways, kama huna half or more in cash za paying your way out, pole. But ongea na case officer haraka haraka ujue what is what, mambo ya court will be difficult, utaenda uwekwe cash bail ya 8m, and that is where things will be almost a lost cause.
hajafutwa.
amepatikana tu.
maneno ya rong-fool dismissal yametoka wapi yakhe?
Of course his dismissal is imminent. If arraigned, his bond should be anywhere between 500k-2m. So, wewe @Wachaikae I hope you did not buy any assets in your name because they might all be confiscated by the gafment.