Elders hii inaweza kuwa set-up


Nliwacha na huyu Dem 3 weeks ago sai ananitumia hii

11 Likes

Ugua mos mos

Ukiwa balls deep hukutuita

32 Likes

Kama jina yake inaanza na ‘E’ hiyo ni fake

1 Like

Mpeleke hosy unajua…mconifirm.Kama ulikua unakula dry fry…ulikua unaexpect aje mkuu?

10 Likes

Pregnancy test au

1 Like

3 weeks ago elder naweza ekelewa upate mimba sio yangu

2 Likes

:no_mouth:
run-running

14 Likes

Three works ago ikona shida gani kaka? Now the pregnancy test is positive. If it was four weeks ago when you were active, she could be around three weeks pregnant. Congratulations, you’re going to be a father!

Labda amechukua ya mdem mwenzake akapiga mbisha na kukutumia ndio arudi sasa ashike ball…

but again ulimwaga ndani ukaskia fiti.

Remember kuna jamaa alinyimwa hio kitu ukapewa, sasa cheza pande yako. Lea mimba, lea mwana.

24 Likes

Conception takes 7-two weeks kama ulikula day ako…on heat.How long have you been munching?

1 Like

congratulations :green_emoji: :green_emoji: :green_emoji:diapers ni 2k nabii atakamua wewe… ama hech eye ve?

12 Likes

Kumbuka hata NHIF ilizama. Huyu is in for 20yrs of struggle. Lakini DNA lazima. Hiyo message lazima imesambazwa kwa ndume ingine tano hivi.

9 Likes

Lea mtoto wa Onyi Wephukulu ni kama wako

1 Like

Hiv or ball ? Kama ni hiv you are finished , kama ni ball you are finished still

16 Likes

Accept for now then do a DNA once the baby comes out

1 Like

Think back to that moment kabla umwage ujiulize kama hata KT ilikuwa imeregister kwa mdihe.

3 Likes

@rexxsimba tuseme ii ni kisonono ama ni mimBa?

1 Like

Its crazy how the friction right before umwage inakuanga so sweet, unaachilia knowing very well you will regret 2 minutes later. Anyway, bro try and get some sleep knowing the next 18 years of your life is over.

24 Likes

Elders wasikutishe.

Marie stops does safe abortions. Kimbiza yeye huko

2 Likes

Imenikumbusha dem yangu campo ilikua tukikasirikiana alafu nimuulize kama amemeza femiplan anasema hajameza na hamezi saizo nimedry fry every day of the week. Stress inanipiga inabidi nimbembeleze. Uzuri haikuwai fika hapa.

15 Likes

Mtoto ni baraka musito. We fanya DNA kama ni wako bas sasa jua vile utalea

3 Likes