Grace Mwende provided for her husband, funded his fake business ideas and even built him a house. She gave him access to her ATM card with all her life savings, and he only left her 9 bob in the account
2 Likes
@CARTHOZWENY unaona probox yako is meaningless, ama bado?
2 Likes
Shut the fuck up motherfucker
2 Likes

1 Like
Jamaa alitumia hio pesa calabash…
Ukitaka kujua mtu hii dunia tabia zake.. weka pesa kati yenu. Utaona true colours
Tamu sana, for years they have been taking from us.. its time we took from them.
1 Like
Am so happy too, they’re finding their match
750k unapatia mwanaume ATM afanyie nini? Kwanza mwanaume mKenya? Goddamn it. 750k is too much money to leave up for grabs. Ujue uyo jamaa right now pengine ako Diani with Azziad pale Billionaires Resort.
Lakini hivi kwamba watu ni wapungufu wa akili ama shida iko wapi? Siyaelewi mambo wanayofanya binadamu wa siku hizi.
1 Like
