When it comes to women I think kuna dharau they have towards pesa inatoka kwa mwanaume. You will see her diligently saving money but the moment you give her money it disappears into thin air.
Mimi nilichukulianga some luhya I was to many pikipiki and within months alikuwa ameuza bila kuniambia
Reminds me of a sad story about one jatelo that was featured kwa gazeti a while back. The guy had become a fixture kwa CBD, wandering around with an envelope containing his certs and eager to tell his story to anyone who would listen.
To get to the point, jatelo alikuwa ameoshwa na shiny eye potato/soup eating wife. All the property was in her name and once he was unable to generate more wealth, he was thrown out.
The highlight of his story was how he once went to beg her for his “rightful” property, but she lifted up her dress, lowered her thuruari and told him to get his property there.
Reserve one day every week to fear women.
Hehe..mluhya kutoka kitale. I was constantly having to help her out na shida kidogo kidogo. Shetani akaniambia how about I get her something to earn her some daily income plus a means of commuting. Hivyo ndio pesa zangu zilizama plus the relationship. Lakini na yeye karma ilimfunza…alipata jamaa ya embobut, akandunga yeye mimba na ku-evacuate
Yeah. Huyu hajapigwa character development proper. He has still has a soft side for the lady. Hizi ndio zile ngombe unaskianga waliachana na bibi alafu wakarudiana.
Watu huku nje wanaoneshwa kivumbi, breakups huwa nikama hiyo vita ya Iran. Kama mbaya mbaya. Even Jesus cannot reconcile that relationship
Women spend money on an event driven basis (hence why 90% of ads target them).. wewe mwenye unajifanya kupea khupipi pesa aangalie posho mill utaona moto.
Bibi mpatie pesa ya chakula, na vitu kadhaa za matumizi ya nyumbani. Ile unabakisha rusha kwa project yako itakusaidia uzeeni. Siku hizi uzeeni inakaribia haraka sana.
Hehehe, mwanamke mpatie pesa ya kutumia.. mambo ya future planning hawezi kabisa. That’s why they are found in government where there’s recurrent expenditure, not development activities.
Shida ya hii Kijiji is that everyone is a know-it-all that has never seen any loss and a perfect human. People lose multiples of what I lost to relatives, scams or business partners. I shared a past experience that’s a footnote in my many life experiences but mumeanza psychoanalysis za kipuzi.