Elder has fully healed from luwere

7 Likes

… yaani pastors huwa hawana huruma, wanataka kula hadi za wagonjwa. Sasa hio ndio niche ya prophet.

Atakula mingi za watu basi…

Alafu nikama waganga. Huwa wanaangalia vitu zile husumbua watu: pesa, kazi na mapenzi, sasa wanatibu hiv/aids.

1 Like

@Poyoloko umepona ukimwi?

1 Like

msisahau dunia inaisha august… chapisha kondomu kwa ukuta tutakuwa kwa yesu next month :green_emoji:

5 Likes

I will write a thread pale kwa religion. Ni vile Niko busy kwa Vishnu sipati time.

2 Likes

Huyo hakuwa na ukimwi shida ilikuwa malnourishment. After kupata kazi kitambi imerudi. Time ya COVID he almost committed suicide after Bibi kumwambia atoke nje achange nguo juu ya kuwa jobless. Kama sio word of support we could have lost one of our kadere.

4 Likes

Rink…

Na unitag ikiiva

1 Like

wacha kuniharibia jina mortuary attendant

2 Likes

iyo kichwa ni ya @poyoloko

2 Likes

Rink onge ilibaki kwa old kijiji.

1 Like