2 Likes
Unagonga hio mbwa kama noogle
1 Like
Ningekuwa huyo jamaa, ningepiga huyo chinaman ile stunner ya stone cold..ipige summer ya nyuma kwa hizo mabati.

1 Like
Poverty is bad. It makes one do demeaning things or endure dehumanizing conditions. Mnafikishanaje na boss wako mahali anaona anaweza kuchangamkia kama burukenge?
Lijodi Hawezi guza mtosi , watoto watalala njaa
1 Like
Huyo chinku hakusoma kung fu wakati wa PE?
Unapiganaje na mabati
1 Like
This mental slavery is the reason, watu will stay in bad jobs thinking hakuna any other opportunities huko nje. Meffi sana
Elder asks his boss for forgiveness after their video went viral.