Elder amekula moto na kunguru "Unakata kulala na nimelipa room, alafu unanipiga in my car💀"

https://x.com/dailypost_ke/status/2041564714325447115

8 Likes

Ranchers hatuna hizi mashida. Dem akishafika kwa ranch saa mbili impate huko ni hivyo. Hio siku lazima atavua suruali coz kutoka is not an option. Hakuna story za kwenda home eti tumekosana ama ananyesha. Hakuna matatu, hakuna taxi na wasee wa nduthi karibu wote wako kwa chang’aa. Hapo nje Bosco haoneshi foreigners meno na njiani kumbuka kuna uwezekano akutane na mapangale akiamua kwenda kaguu. In fact, tukiwa tumechill kitu 7pm unaanza kimpigia stories vile msichana mwingine juzi ameshikwa hapo chini akawa gang raped na vile wasee hunyang’anywa piki piki ikifika usiku so hawezi pigia msee wake wa boda amkujie. Ni ukasongo najua but women will do you bad ukiwaonesha meno kila saa. They will eat your food and drink your alcohol then up and go wakuwache na hug pekee na bluebells. Brothers should learn to explicitly state their intentions and not assume that everything is implied and given.

6 Likes

Hizo kofi za magizani zimenichekesha…

2 Likes

Sioni makosa yoyote miye. If you can hit a man, you can as well be hit right back.

8 Likes

A weak man would become obsessed, he would return repeatedly to the same woman who showed him the least interest, he would pay for more , talk more , promise more all to win over her despite her being fundamentally uninterested

2 Likes

hehehe. Hii nayo ni kali.
Hio kofi ya kwanza imeslap! Pun intended

3 Likes

huyo muyamaa anafaa kupewa Chief of the Golden Heart (CGH) Madarak day

3 Likes

Very unnecessary, throw her out & leave..vitu kama hizi zinaeza kuletea kesi zingine hutaezana.

4 Likes

While we can all agree that in general sio poa, someone has to take one for the team. And this champion here has done it.
Wacha iwe funzo kwa huyo mmama na wengine kama yeye, unakunywa aje drinks za 9k, unalipiwa room, unakataa kulala na unapiga jamaa kofi… kwa gari yake.

Disappointed No Way GIF by Magic Eden

5 Likes

Hope the elder arrived safely at home and was greeted with a hot cup of tea by his wife

7 Likes

Lakini wazazi hukapitia. Unauza shamba na ng’ombe mtoto aende asome Nairobi, unarudi kuuza farm produce upelekee your fake pastor mbegu aombe kijana yako apate mafanikio na wewe mwenyewe unakosa usingizi ukiombea burukenge iko Nairobi ipate kazi only to see him fighting lanyes kwa TV. Hatari sana.

9 Likes

He is making unnecessary noise. Let the hands do the talking. Na ukiamua kupiga unapiga kama drum, kipigo kimoja pekeyake kinamwambia if i dont become soft, I’m dead on its second landing. Una tolea yye ata spanner na kutupa hako kasimu kake mbali

4 Likes

Interesting. Ukijipata hapa mrushe nje tu na uende. Kuanza kupiga dame uaezajipata kwa fridge city mortury rahisi sana. Alot of Captain-save-a-ho simps out there. Hata hutasikizwa.