Eid Mubarak...

Kul’ am wa antum bi-khair, mwezi umeonekana Saudia, sijui kama Kenya itaonekana leo.

Ya Muslimeen, may Allah forgive us for the shortcomings in our worship and help us improve by next Ramadan biithnillah.

Ya Allah, help us continue the good habits we acquired during Ramadan. Oh Allah, please make us of the righteous, the guided, and those You love. YaAllah, please guide us and our families to the Straight Path and help us become excellent Muslims for Your sake. We worship only You and only from You do we seek help. Please increase Your bounty for us. Ameen!!

[ATTACH=full]241147[/ATTACH]

@mayekeke kanda ya Mathaithi

[ATTACH=full]241149[/ATTACH]

You too

Unakuwanga muislamu?

Ameen
Eid Mubarak to y’all akhis.

Alhamdulillah

mwitu after siku kuu anarudi default setting Kula nguruwe pale porkies.

:D:D:D

:D:D

Waislamu ktalk
@MadPhilosopher @mayekeke @Bigfish1 @Rahma @Mfalme Bingwa Scrotum nimesahau nani

@Illuminated

Acha hizo… Unajua last time nilikula pork ilikuwa pale Afghanistan, manze kulikuwa na spare ribs zingine za ajaab display kwa DFAC, nikaambia muhindi anipatie kama kilo 2, manze nikazisheherekea hizo ribs kama doggy ya ukambani, baada ya kumaliza, ndio boy mwingine hasidi akaniambia ati ni nguruwe, manze nilitapika kama paka iko na mimba. Hile noma nilitoa siku hio, ilibakia tangu siku hio all meats that were served had to have a display indicating if it was pork or not.

[ATTACH=full]241181[/ATTACH]

Mzito ziga

Eid Mubarak!

They slaughter pigs in Afghanistan, the land of alqaeda???
Dunia kwel ina mengi

Nimekuwekea challenge kwa thread ingine, enda kasome kisha nipe majibu cc @Bingwa.

No.1 antijubilee pia

Nani…

May the blessings of Allah fill your life with happiness and open all the doors of success now and always. Eid Mubarak to all fellow Muslims

US military import their food, you know how westerners worship pork.

Hio ndio kusema nini

Nikusema Kasenge iko kwa basi ikitoka UG saa hii, alooooo… Kesho kananitarukia.