This has been happening in the last 3 years. Some of the meat sold in Nairobi comes from animals slaughtered at the point of death. Red Cross also buys, slaughters and gives the meat back to villagers
A cow that was going for 80k in the past two months ndio iko 15k sahii,hiyo ya 60k sahii inafikisha 5-7k.
Ukinunua hizo zenye zinaanguka you only need 3months and not 8 for you to be a millionaire.
Wale wajanja na wenye mihela ya kulisha ng’ombe wakati huu wa kiangazi wanaingia kichinjio na kufagia ndama wote at a cost of 1500 and within a short span of time ndio itakuwa ni profit juu ya profit.
Anyway soko ya Bisri na Suswa bado utapata ng’ombe wanono …(soko ya kichinjio is a joke)