eee CCM, Yangu macho

Mimi ni mwanaccm imara na siko tayari kuhama chama hata kama kitashindwa uchaguzi na kuwa chama cha upinzani ,CCM ni chama imara sana naamini katika CCM kunamabadiliko ya kweli,ccm ni chama kikongwe kina mizizi katika siasa imara,
Lakini niayo mashaka ya mwenendo wake kwa siku za hivi karibuni hususani kwa wapinzani wanaohamia CCM kutoka upinzani na kugombea ubunge na kushinda kwa kishindo;
yafuatayo ni maswalimachache dhidi ya chama changu
1;hivi wapinzani wanaweza kuishainda ccm katika mazingira yoyote yale,tume ya uchaguzi ni ya kwetu,jeshi la polisi ni la kwetu,mkurugenzi wa uchaguzi ni wa kwetu,je ni kweli ccm hatuna watu bora wenyemvuto kwa wananchi kuliko waitara na kalanga?
sasa yanini kuhofia upinzani?
2;hivi tuliona thamani gani kwa akina kalanga,waitara na mtulia hata kupoteza nguvu zetu na muda wetu kuwarubuni na kuwanuanua waje ccm na tuwarudushie ubunge wao kwa gharama kubwa?,tukumbuke magarasha yana gharama kubwa sana, hata ukilipa mpira liko na kipa itabidi umshika kipa MIKONO ili liweze kufunga ,vinginevyo litakosa goli
3;je isengekuwa bora kabisa kumrubuni na kumnunua mtu kama mbowe ,amina mdee,sugu , msigwa wahamie ccm?,kwani watu hawa wana mvuto na wanakubalika zadi kwa wananchi?,tungekuwa tumelamba madume,kuliko kununu haya Magarasha,yasio na mvuto eti waitara?,kalanga?
4.hata kama sugu,mdee angetaka bilion 100,ni bora tungemlipa,kwani ni karata dume,kwanini hatukuwapandia dau kubwa
5;msimu wa usajili unapofika ulaya,klabu kubwa hununu wachezaji ghali zaidi,hata ikibidi kuvunja akaunti zao,angalia PSG walivyotoa kitita kikubwa kumnunu Neymar,anagalia kikosi cha PSG kilivyo jaa mastaa wa gharama kumbwa.
6.wito wangu ni kuwa tuongeze Dau kubwa zaidi,tumlenge Mdee.,msigwa na sugu

[ATTACH=full]194234[/ATTACH]

yehodaya njoo huku

Yuko Kimboka anauza papuchi yake