Edgar Obare

What happened to the tea master? Sijawai msikia ama aliisha tu hivyo???

The instagram ban affected him big time.

mambo ya mtandao kama it is your turn to shine weka pesa as you invest in other things There are Youtubers who used to get 10 million views per video sahii hata 200k ni ngumu kufikisha

Kitambo pale MKZ we had a guy called Kabugah na yeye ndiye alikuwa kuongea. Whathever that happened to him only God knows

We keep saying degree muhimu mnafikiria ni jokes. Sasa juu you don’t hear of Obare mnafikiria amekua irrelevant lmaooooo.

Edgar is thriving on Telegram making 2 million bob a month thanks to 14, 000 women who have subscribed to his premium channel.

Degree muhimu

Mbona inakuuma sana?

Alipanga con ikakuwa exposed.

:D:D:D:D:D:D but ilikua smooth sana

Very.