Economy Ni Mbaya

Niko mahali naburudika with my boys kule leafy burbs. Waitress anakuja ananishika mkono namwambia drink yangu. No big issue but I thought maybe amenimistake na msee mwingine. Even my friends noticed wakaniuliza kama nimemdishi. Things didn’t end there. The second round ameniita “babe”. So there is no way ningeconvince maboyz sijakwachua huyo waitress…na ni stranger manze! Maybe she expected a big tip juu economy ni mbaya. I don’t believe in tipping culture so watu wenye mmetoka mayolo iyo upuss msilete huku priss.

8 Likes

Mturandom, mwache kakitu

4 Likes

Toa kakitu Mdau

2 Likes

Hapana tambua kunguru sugu. Mtu ana guts za ku-babe stranger mbele ya mabeshte zake mileage imefika Antananarivo. That’s about as hardcore as they come.

16 Likes

Walahi iyo ni desperation ingine noma sana! Na ivo tu ndo msee anakuaibisha mbele ya watu.

2 Likes

Iko wapi picha tuangalie mileage

4 Likes

The brown boy is at again,

piga picha ya meza na haga ya waitress akirudi counter

umbwa wewe

23 Likes

@azorahai is overthinking things

4 Likes

niaje fukara ndovu

6 Likes

Wadau the plot has thickened. The bitch amenichuna thigh akaniambia nimbuyie Redbull!! This is clearly a hoe masquerading as a waitress. Economy is clearly in the toilet. I have never seen such levels of aggression fuk.

7 Likes

Good morning

1 Like

Ni whisky gani hii umekunywa.

4 Likes

Mungich ya rware niaje… Nunulia brown skin pilsna atulie. :green_emoji:

10 Likes

Nunulia mtu kitu na umbebe wacha ujinga.

8 Likes

Please tip if you can afford, truth is those girls are paid very little, they survive on those tips, hata kama ni kidogo please tip.

10 Likes

Wapi picha brownie hata kama ni ya nguo ya waitress

5 Likes

Wenye wanadai picha za watu without their consent inueni ndiasa mjipige picha juu I can’t do such juvenile activities. Naheshimiwa sana huku.

Hizo labda wangapi gang watamsaidia sio mimi.

Muite kando itisha mkia na 150

1 Like

How is that my problem?? I pay for the service in full. Tipping waitresses creates a moral hazard by encouraging employers to underpay them and making them think that they deserve tips. Upuss.

5 Likes

Shida ni the entitlement that follows tipping huku kwa vumbi.

1 Like