Plug and play
victron wanamaliswa.
Shida ya ecoflow ni ile powerstation yao lazima uexpand na extra battery ndio upate 240v. Otherwise utabaki na 120v ukinunua moja.
Kuna international version ya 240v
Hio from Poland ama?
Yes from EU and UK, if you buy from Amazon you get the 110v version
1 Like