Ebu Kujeni Hapa Kidogo...

Hawa ni wa wapi sasa?

[ATTACH=full]59498[/ATTACH]

7 Likes

:p:D:D U still awake sir??

2 Likes

Eeeh yo ruff ambia wazito jay alifika 254 salama. Siwezi communicate juu sim card za safaricom/airtel hazifanyi na nangos yangu juu ni simu manufactured specifically for German network named E plus.

Am communicating using phone ya cuzo.

Ambia Maboyz kesho I will address a press conference addressing the lies Wakanyama is feeding them.

@Wakanyama si nlikubongesha inbox.

Kesho 16:00 on the dot Kenyan time Jay baby boy will address the Ktalk nation. Peace am out

PS: na hii Nairobi inanuka meffi. Streets mtu hawezi pumua na amani. Kila mtu ananuka jasho alafu vumbi Jo. Kidogo kidogo Unaona shining eyez chokosh watoi na mikono chafu ati uncle sijakura

Kesho buda boss.

26 Likes

yea thanks to UEFA.

:D:D:D:D

1 Like

Go Team Dim Eyes!

4 Likes

wakale wako na ufala mob sana

4 Likes

:D:D:D

1 Like

Nimekaa kwa stool naangilia tuu hii uzi, @Wakanyama bado hana habario_O

2 Likes

Hii mende ya choo @Jirani ndio inachomoka dumpsite masaa ya waivi baada ya kutua pale mapipani.
@Wakanyama kujia ghasia imejificha kona ile ya NVs

7 Likes

Understatement.

1 Like

:D:D:D very witty matusi

1 Like

Baas!

1 Like

:D:D:D

mna ufala bana.

Welcome to county of IMPUNITY aka Eldy,chapa road race ukijifunza kikale.

1 Like

:D:D:D:D:D Si hawa watu watanimaliza? Watembezwe website.

1 Like