Ebru Tv

https://www.youtube.com/watch?v=HOKEeVor9Yw

So huyu ndiye Beta Male au…utoto mwingi.

Hawa ni watoto achana nao

Jameni. Tukichengwa tukubali matokeo. Kuna dem anasemanga watu wakubali nature. Huyu jamaa akubali nature.

Ngai…boyshaod can not string a comprehensible sentence together.

ALL these Ebru TV perfect matches lubbish are staged. It is pure acting.

Watu huwatch hizi upuzi za Ebru na wale huamini upuzi ya Crazy Monday hawana tofauti. Wote hawana akili.

Boy anakaa nikama alikuwa dipped in grease and oil.

This program inakuanga na ufala mingi tu sana.inakuanga jinkama watoto wanacheza na kujoiingiza into relationships early

Ongeza hapo watu huskiza patanisho.

SCRIPTED BULLSH.IT. The girl is better at acting though.

Meffi

That was savage

This why press gag exists, vitu zingine fanyieni kwa single room.