Ebola

13 Ebola cases of cholera have been reported in Busia.[ATTACH=full]258739[/ATTACH]

Hii gitu ni Mola tu tasaidia.Huu mwezi wa August Pekee watu na travel Sana
I myself included
Kwanza kuingia UG, Rwanda na kurudi

Usisahau holiday ndio meisha…nomaree

Kizeri midia

Ebola cases of cholera?? The fuck us that supposed to mean?

:oops:

Hapanstuka…ni mungu manze…August ni holiday season peak ya masafari

@Makonika njoo upesi! Huyu beste amepigwa chenga na point!

13 ebola cases of cholera???

Santa Sana, siwes taka iyo kitu vuka pota hata kama ni kezeri media
Narudi Rwanda tena next week

Safe journey, Jemedari! Do not be paranoid, but take care all the same!
Myself, Kampala mwisho wa Sep ama mwanzo wa Oct.

Santa Sana…wewe pia…salamia banyankole
Iyo ogonjwa ndio naogopa Sana kuliko rasasi