Ebola Alert.

HEALTH MINISTRY to screen travellers at JKIA, Busia and Malaba following Ebola outbreak in DR Congo, CS Sicily Kariuki says thermal guns have been installed.

@Meria Mata ushavuka mpaka ama bado wala bahali ba kujambia?

Chunga asikupe

yuko pahali ya pochopocho

Ako wapi @pamba alete ile menu ya Congo ya “Bugali nyoka” na kadhalika

Bad news indeed, considering I have to go to said Towns.

si hao watu wanakufa wangekua wanaamka wakiwa zombies

Huyo Meria abaki tu huko Congo akikula manyani.Hatutaki hiyo kitu ata hapa Ktalk.

Don’t you dare!

:D:D:D:D:D:D

asante kwa kunijulia hali, niko Burnt Forest njukiite guuka ndimurira. nilipita kabla waweke hizo thermal guns.
@Gaswin hizi guns zina detect ebora aje? hebu nielezee polepole.
ion: Muarabu blew his top, matusi ingine sijawai skia, wish i recorded him. Verbal diarrhoea ya 5 minutes non stop, enyewe that guy is gifted. ive been warned not to step in 001

utapita wapi my fren?

Noogle, nani amekwambia niko nayo, Mshenz!!!

Thermal gun will detect body heat. Ebola causes a terrible fever. So at that point you are told to step aside and be screened further

I am glad you are home safe and sound. Karibu.( lakini kwangu njoo baada ya siku 21)

Sitavuka border.

asande for reply, now i know lakini niko na swali, if you have ebola and somehow uingie kwa ndege siutakua ushambukiza watu vengi sana kabla hio thermal gun ikudetect? kiuliso tu

si tuteka shock fenced kwa hii kijiji kusiingie new kama juu wanaeza kuja nayo

Mombasa nisiende, Mlolongo nisikanyange, Ndi wau nii? hehehe, Gwathuka orimwe hwa

Hii mijinga imetoka wapi? kwani kuna watoi hawaja rudi shule?

:D:D:D:D