[MEDIA=twitter]1653378975689736193[/MEDIA]
Hii yako ni madondo fresh ama
Safsana
Reading Your Meta Data
Your TABLET is LENOVO
Model Lenovo TB-X606X
Photo Taken 2023:05:02 12:18:38
Bobat na Saget… Sana…
What are those and how are they nutritious?
Cowpeas leaves.
Mimi Niliishi shagz for 25 yrs, and i had nothing to write abt. Kuniambia nirudi ocha, utakua umenikosea sana sana sana
Hekaya iko wapi?
Hapa sawa. Hata mimi nimesema nataka kula vitu fresh from the farm. Nitapanda mti ya avocado on Sunday naipea two years hata mimi nijivunie
Mkulima hodari, picha ya ndengu ikuje
Sawa Kasee.
Hakuna Kula sumu ya glyphosate ( herbicide) + Acephate, an organophosphate which is carcinogenic( controls false army worms)
Our house manager dries seasonal greens for consumption during the dry season akizipika na Ugandan gnut paste, utapenda.
Sijapanda ndengu round hii ,huwa inahitaji mvua kidogo .I told you that .ndengu ntapanda Dec hopefully mvua itakua kiasi . I don’t like burning my fingers chief
Sawa kaka. Teach us (elders) your ways. Ukulima inakaa kuwa starehe
*Fall
Hii iko Sawa ukikula @Ngimanene na matharo
Ulisema huna bibi. Tena “our” house manager… Utahama lini?