Easter Sunday Reggae

Ukiingia place upatane na hawa maboys huko ndani ya club piga u-turn urudi home

2 Likes

@johntez_addi_gaza_ms Hi…

1 Like

@johntez_addi_gaza_ms na team mauki wako mboka manyongolo Kwa stairs unaingia club ukiwa sanitized.

Utawapata hawafanyi kazi yeyote lakini wao hula, hunywa, huvaa, hulipia nyumba, huchana, na kuvuta sigara daily. Swali ni je, wao hutoa hela wapi?.

A reason to be accompanied by Mr. Glock everywhere.

2 Likes

Hiyo doba iko sawa…shida iko kwa rende.

1 Like

Ata iyo chuma yako utaporwa pia