Incoming MCA is a loyal Catholic kumaanisha nimekuwa 40 days of Lent. Nyama nilikuwa naionea kwa viusasa. Watu wakikula nyama me nilikuwa nameza mate. Lakini kutoka leo tunaruhusiwa kula nyama…After kutoka njia ya msalaba hata sikuwaste time, nimeingia kibandaski na kuchafua meza na porko quarter na soda baridi ya mountain dew. Damage 280 Kenya shillings lakini juu am feeling happy nimelipa 300/- nikaambia jamaa keep change
[ATTACH=full]234424[/ATTACH]
Premio nimewacha ikifanywa service juu kesho till Wednesday naenda kuoshwa rungu na khupipi in Nyeri, Nanyuki alafu tumalizie Meru. Watu wa Central mkiona jamaa dark amevaa T-Shirt ya Gor na ana facial features za Denzel Washington ivi, huyo ni mimi. Mkiniona mkuje tufanye handshake ama namna gani. Happy Easter.
M c a ,upgrade hio sahani ya mabati , hio porko imeiva fiti ,na uwachane na maliar fikisha khupipi threshold ya ktalk na umuongeze ile amendment ya koolibah kama Sosa