Easter Jeorpardy

Si ati kuna msiba but expenses zimekuwa mob than planned for

Jalopy imesema haiwachwi nyuma,both back tyres zimeamua ku retire after 4yrs service.That is a minus 15k na hii jua yote. …wooolololo yayee…I hate to pull money from savings to fix this…sawa tu wacha ni promote mtu hapa Naivasha

Treat your car as a family member ,wacha kubeba gari lako kama lanye.

Anatibiwa pole pole hapa Naivasha sina ugomvi na yeye ni vile hakunipa warning

@Wonderfool wonder regional manager naona roundii hii umerudi na makeke sana.

Salimia mwalimu gashwin hapo Lakeview primary school

Uza gari. Ni liability. Ndio naskia watu wengi wakisema.

Siamshi yeye,wacha alale tu,dire ready kuongithia kiria giguciarwoo

Hii yangu haijawai kuwa liability,saa ingine I feel inanielewa na kunivumilia instead

Ok. Ni toyora?

Nooohh bigger than that,Its a touring wagon,Car for men and not small boys…Its an outback

That’s good vehicle. Itunze ikutunze.

Mimi wee hrs on Sunday I hit a kerb that ripped two of my Dunlop tires, niliboeka sana. Natafta size 255 na Hii mvua

Gari hainanga adabu, ata yangu iliitisha tyre mbili na hiyo jua ya April, karibu niiweke parking nichapane na vumbi…

you are lucky they were not LINGLONG tires. ungejua hujui

niliona jamaa alipata thugs wa southern bypass pale kikuyu wameweka mawe kwa road usiku. alikuwa na benze and those original alloy benz rims zilipasuka kama biscuits. leo najua ameshinda bank akiomba loan akanunue rims mpya considering maybe hata insurance doesn’t cover such damages.

Toyota peasants mnasumbua sisi watu wa XF v8 tumezoea kulipia tyres every month

Ndio mimi huavoid those new shaina stuff. I’d rather ex Japan unatafutiwa Kwa mabazar.

Must have been old tyres,new Dunlop would have resisted

Nope, hazingeweza

Inakaa then you were determined to hit the kerb,dunlop are good tyres though