Wakubwa every Easter sisi huwa na sherehe courtsey of edgar(not his real name)who is a child hood freind. Edgar used to play basket ball tangu class 8 hadi alipoingia high school in chulaimbo boys. It is his skills of basketball that made the principal of maseno high school to pouch him from chulaimbo boys when he was in form two. Jamaa alisoma bure hadi form four. From there akaaaanza kuchezea club flani hapa kanairo and thats where some arabs from Dubai spotted him. Today edgar plays basketball for a prominent basketball club in dubai
Easter usually coincides with his birthday. For the past 5yrs, We usually have a get together party.He usually makes arrangements and cater for everything during the sherehe We have a whatssup group specifically for that annual event. kila mtu huwa na department yake, kuna wa kubook club, wakutafta mbuzi ama ngombe ya kuchinjwa, wa kuhire gari etc. Yours truly @Salago ako kwa kuhire magari. So tumeongea kwa group nikamshow kuhire voxy ni 7k per car na cz ilikua nichukue magari tano akanitumia 35k. Good friday nikaenda apo kisumu tao karibu na place nakumatt mega ilikua nikapata gari na 5k. in total ikawa 25k, nikaweka 10k kwa mfuko.
Kesho yake sato edgar akifly in. Mimi na beste yangu jarateng tulianza ulevi dunga beach saa mbili asubuhi tukikula samaki. By the time jamaa anatujoin around saa tano anapata steam imeshika. Jamaa alikam akidrive rangerover na sistake akakam na V8. Tukakaa dunga Hadi sa nane. Kutoka hapo tukaenda kwao kugotea wazae. By the Time tunatoka huko ilikua around 6 jioni tukaenda club mpya ilikua inafunguliwa kisumu nadhani inaitwa allionce.
Kufika huko tukapatana na mabeste tayari wako kwa reserved table. The whatsup group has 52 members but 35 ndio walikam. Madem walikua 12. Club ilipewa ngombe kutupikia. So tuliletewa nyama choma, fry, boilo etc. Drinks zikaanza kuflow, btw hiyo club ilikua inauza JD moja 8500, Tusker 350 etc Na drinks zilikuja in huge quantity. Mimi personally baadaye nilipiga deal nikauza creates mbili ya tusker. So all the attention ya hiyo club was drawn to us. Madem strangers wakaanza kudance around our table. By that time pia sisi steam imetushika tunabanjuka mbaya. Jamaa akacheka akasema kwa kijaka “@Salago sijaguza hata quarter ya budget yangu na tayari mmeshalewa?” .
Tukipiga story na maboyz tukamshow anafaa ainvest cz sports miaka ikianza kusonga atachapa Kama oliech. Jamaa in heavy luo accent akasema he has invested adequately. Hiyo time pia yeye zilikua zimemshika mbaya. Akatoa phone akatuonyesha account balance, elders it’s the first time Mimi kuona account ya mtu inaread 47M… Akasema that is hard cash only not assets. Hao madem tulikua nao nilikua naona mpesa inaingia unaskia Dem amesema “aki Edgar thanks Sana, I don’t know how to thank you” baadaye nikagundua alikua anawatumia 10k Kila mtu.
Madem kwa hiyo club vile walinotice jamaa ndio msito wakaanza kuprovoke ile serious. Dem anakam anaguzisha matiti kwa uso ya Edgar bila hata aibu. The good thing with Edgar ni ati he knows how to control himself, alikua amekaa tu all that time Hadi vile tulitoka club
Baadaye niliskia wasee waliiba pombe mob sana kutoka kwa table yet. huyo siz ya Edgar akalewa akakulwa huko kwa choo na mrasta flani alikua anavuta shisha kaa nonsense.