mbisha za damage ya hiyo 5.8magnitude earthquake that hit tz like an hr ago ziko wapi? btw nani ameskia tremor Nairobi?
cc @Mtanzania Magufuli
Watu wameconcentrate na mechi ya Derby of the season, sijaskia hataa…
[ATTACH=full]56829[/ATTACH]
tumeshindwa,tumeshindwa…
he he he he…
tetemeko la ardhi, toka OT
[ATTACH=full]56830[/ATTACH] [ATTACH=full]56831[/ATTACH] [ATTACH=full]56832[/ATTACH]
pole kwa nugu zetu watanzania…
Mzae umelewa nini??
sijakunyua chochote…kwa nini?
KUMAanisha umetusi waTZ NUGU?
he he he …lakini si magufool ni nugu tu?
He he he he he he he! I don’t know whether that was deliberate but its funny…
poleni waTZ
Yaani Leo tumekua kasarani tukasahau job.
.
Several houses damaged in Tanzania after magnitude 5.8 earthquake hits region west of L.Victoria including Kigali, Kampala, parts of Kenya.
[ATTACH=full]56846[/ATTACH] [ATTACH=full]56847[/ATTACH] [ATTACH=full]56848[/ATTACH] [ATTACH=full]56849[/ATTACH]
@ES wacha kuniangusha, hii story nilishaweka hapo chini! I’m using a hand-held so I can’t paste the link.
Izza bro, sikua nimeona, pewa your favorite poison unitumie paybill
mwambieni @Deorro a-merge threads…
The megafool headline made me skip this thread
@Deorro fanya hivyo!
the pink or whatever colour building looks like a street in [SIZE=6]Medellin [/SIZE]