Early Marriages

Back in the day(mid 2000s) tukiwa campus Munyua an alter boy had a galfriend who was equally into church and she still is.
Munyua hukunywa kama Hino nowadays.
So walidinyana sana wakiwa campus na kwa bahati mbaya ka njoti ka mbonyox kakapita na the lady got pregnant
His church belief couldn’t allow abortion,so they chose to keep the kid who is now in form 3 in some school in Muranga,they were blessed with other 2 kids later and they are still married despite Munyua’s promiscuous tendencies.
Swali ni je?
Hawa watu wataishi aje after their kids leave the nest in the next 10yrs…Munyua will be turning 40 in a few months,the wife is younger.
He says the focus will be on making money but for what purpose if the kids will not be part of it considering yeye ni jamaa ako na mbegu ya wasichana sana sana so wataolewa.
Kuzaa mapema,unalea watoto na mashida,when they are gone biashara zinashika,umalaya inazidi @ChifuMbitika is that you.

Ratish imeshika hapa design ya noma

You need a lot of money if you want to retire and maintain your same lifestyle.

Wanaume tuambiane ukweli; kuwa na watoto na more than two wimins ni kuwa immature juu sasa huyo hukosa attention ya father figure ni nani atamuangalia akianza kuwa chokoraa ama kubehave kama al shabaab? Be very mean with your seeds buana. Hio shenzi ishikilie hapo ianze kusaka mapesa vizuri saas.

what are you even saying faggot? its a saturday morning for fuck’s sake umelewa tayari??

Just thinking about Munyua my friend,the ratish is well cooked though…i might remain here today
Imagine he will be done with parental responsibilities by the time he is 47yrs…nigga might live upto 90s,i want to advice him to impregnate a soft meat so that he gets something to keep him busy

Aanze mambo ya school fees tena?

Ehhhh bana,he got to find purpose in living,not promiscuity

Alipata last born akiwa how old? Si hio story ndo @sani amekua akiima watu wamalize ulelezi mapema

Early 30s,she turned 10 late last year,in class 7 i guess

kwani how old is he?

oya, sema ulezi.

usidhani sarufi ni modafakingi gemu

After empty nest si ata mtu awe volunteer in something charitable.

Si a msapere slayqueen who’ll cause havoc.

That can’t be me mkubwa but one thing I have noted is that you are older than me.

Sema tu ni wewe hatuta ku judge.

Ama alee mtoto na pension

Mimi i do.kwa nyenii,so no kids

So you are a soft meat,haujanyauka ,the chase is on

This is the reason men used to marry multiple wives. Saa hii atafute tu ka PYT maisha isonge. The first wife atakubali matokeo

So, if the first marriage did not work mwanaume asioe tena?

Clearly stated more than 2 wimins. Soma tu usiogope utaiona.