When’s the last time you had “Orenge” for lunch?
[ATTACH=full]17194[/ATTACH]
When’s the last time you had “Orenge” for lunch?
[ATTACH=full]17194[/ATTACH]
WAPI SIMA? Hii centre ya kwetu ukiitisha waiter huwa anawikia msee WA jikoni hivi…Ugali makuku Toa!!! Ugali Na hoove ya ng’ombe…Ugali kigombe Toa!!!
Ndio hio hapo kando.
Ndiyo hizi hapa ugali… lol
[ATTACH=full]17196[/ATTACH]
Naona ka sima pekee
at first nilikua nimeona kana kwamba unakula mikono ya binadamu
kula chakula ya maana
Hata sahani hawajakupea,unakulia juu ya meza.Hio ni shimo gani?
HIO NI SNACK KWANGU
Hiyo makanyagio inakaa mkono ya mtu bwana.
that food looks as if it can give one a sudden and fatal heart attack
ha haa, ka speck?
Mimi naskia tu kwenda kulala saa hii
Kuku broiler unakula mpaka miguu, hizi ni mashida.
nikuje tukalale na wewe?
i will just sing you lullabies and then touch you appropriately while you sleep
necrophiliac
:D:D:D:D
UPUUS wapi ugali ya kutosha?