Early Christmas

[ATTACH=full]24523[/ATTACH] [ATTACH=full]24524[/ATTACH] [ATTACH=full]24525[/ATTACH] [ATTACH=full]24526[/ATTACH] Its was an early Christmas to members of the public who had a rare chance to chew free miraa when a marungi transporting vehicle overturned in Kangu town along Embu-Mwea road. one person died in the accident. The story spread like bush fire and attracted a huge crowd including hawkers who were spotted selling njugu karanga na Pk za yellow.

1 Like

MBICHA YA PK YA YELLOW MBLO

1 Like

sadness of life!

Waah this is kenya ata after sachangwan tragedy lorry ya mafuta ikiianguka watu hukimbilia

Hio prombox inakaa ilikua 180

Lakini hawa watu wa kwetu anapenda hii kitu sana.

how did you deduce that?

Cheki vile imeisha, seems it rolled several times

Cheki vile imeisha, seems it rolled several times

1 Like

nimepita hio njia leo. hawa dereva wa hizo PROMBLEM BOX sijui huwa wamekula nini

but why 180?:D:D

1 Like

These drivers are usually high on something. IF it weren’t for those bumps erected from Makutano to Meru, there would have more casualties.

1 Like

Venye hyo jaba ilitapaka haikosi kuna ninja hzo plants ikidhani ni jaba:D:D:rolleyes::rolleyes:

Miraa Will never Ever eveeeeeeer be transported na Pro box…Ka si Hilux , Land Cruiser…Lazima Ifike kabla ata Pilot wa Ndege afikirie chenye anakula for lunch…

This Embu people kuna kitu huwa hawaelewi, hii muguka ata akiendesha gari pole pole , aina hasara sababu ni ya within…itakuliwa tu na in 3hrs wako Nairobi…But Miraa, Aaaaaiiiii…Uspotuletea pesa utatuambia nini hajui kwa hiyo gari chenye ilifanya iwachwe na ndege…

These is Embu which is very far from Meru…Ukiskia accident ya Hilux ama Landcruiser , hapo jua sasa ni Miraa…Plus theres always gari iko halfway filled na magunia inafuata yenye iko loaded…So ata in case of such an accident ni offload ya chap chap kuwekwa kwa gari iko nyuma na trip iendele…Ukigonga mtu njiani…Wekea yeye Miraa Juu kwa kifua…Hakuna Mtu atachukua , Polisi wakicome watajua ni gari ya Miraa, Kesi baadaye…Lazima tutarudi kumaliza kesi Miraa ikifika airport…

Hapa ni wapi @Meria Mata coz from Embu najua PI, Gathoge, Difatha, Mururi, That kasmall town before Samson corner, Kimbimbi, Mwea.

1 Like

For Muguka i dont know…But ka ni Miraa, haifai kuwachwa na ndege ata kidogo…Otherwise u’ll have alot of explanation to do…So pale lazima icheze 150 kuzidi…

you miss my point…the 180 seemed such a random figure…why not 176, 0r 192?

1 Like