out and about! what are you upto? Have a great week
Shaamka, getting ready to start the week
Way to go @blueline , reminds me when I used to commute to work from thika to Nairobi, u used to wake up this early.
Thika road was a disaster, thank to Emilio Mwai Wa Kibaki, for the new thika road.
Headed to the showers beautiful week ahead guys
enda mjenge nchi sisi tutakuje kupaka rangiā¦
Poleni kwa walioumia hapo waiyaki way asubuhi hii. Matatu KMO Sacco overturned just before Nairobi school heading to Nairobi. ION blessed week everyone
KMO sacconsinya ukambani?
Kueni na siku njema
Good day fuckersā¦mi shaamka naanda Chakulaā¦sijui njaa katokea wapi:(
Another Monday, another week. Life goes on.
Sijui kama saa hizi ni early badoā¦ Am going to church for a mass before i head to workā¦ God bless us and the work of our hands
Nko kwa mat inakimbizwa kama nonsense
ndo kuamka
in town now
Ndio kuamkaā¦ Lazy yawa
@admin sitakuambia tena ubadilishe hii timestamp yako imbo.how can an early morning post have a timestamp ya 5:24 pm???
kubaf
I think wewe unaona vitu zako
[ATTACH=full]30376[/ATTACH]
@junkie click on your name enda account preference ama Preference then select timezone uweke ya Nairobi. Niguo munene? (okuyu sida kwangu)
[ATTACH=full]30379[/ATTACH]
asan sana buda boss
ā¦na vile ulikuwa umetukana admin kubaff, sasa ona vile umekuwa mpoleā¦