early bird vs night owl

are you mtu wa asubuhi ama night runner??

mimi mambo ya asubuhi tangu high scholl siwezani…naweza set alarm 5 oclock na niamke 05:40 pm afer kusnooze for 30 mins

1 Like

Night runner in the house. Kushindwa kulala before 1 am ni kawaida

1 Like

…night runner afadhali… i snooze simu ka mara twedi…!!!

I sleep early and rouse early, then laze in bed for over 2 hours planning and scheming.

1 Like

early bird… usiku ka uzingizi unilemea vimeja