if i wanted to buy something from ebay or any other foreign based shop how would the item get to me here? assuming the company am buying from ships worldwide.
nenda www.savostore.com
reg account, tuma link ya mzigo wako. subiri mda uliopewa. lipa na mpesa na endelea na Maisha vizuri. alfojiri njema
@Kentex Cargo tasaidia wewe .
Kama wanaship worldwide probably wanatumia DHL ama aramex.utakua contacted zikifika. Ama ikuwe wanatumia post office, uzichukue posta. What you do is ask them which shipping company wanatumia. Pia unaeza tumia african salhiya, kentexcargo,vitumob ama savostore
when you use DHL or aramex … unasumbukanga na story ya clearance ya customs ? I would like to know this
Kama ni mzigo kidogo tumia Kentex kama ni bulky tumia salhiya.
Aramex ni maumbwa hao ni wezi heri niende kwa walalo pale Eastleigh salihiya.
Leta hekaya
Hautasumbuka na hio stori. They are both very reliable and fast. Shida ni wanakuanga very expensive.wanaeza ata kucharge more than the value of the item you are shipping.
Wao huovercharge. But they are reliable kwanza kama uko na haraka.
Savo store kitu nawapendea ni communication kwanza if there is a delay in the shipping they always send you an email… upuzi walinibo nayo ni kuniongeza dimensions on my packaging so wako na wizi kidogo … but besides thats wako sawa
Sometimes you have an item that weighs only a few KG but is big in size. They charge you the volumetric weight not the actual weight that’s why. They have to because that’s how all airlines charge since space is limited on airplanes. You can see the volumetric calculator online if they are charging you the right volumetric weight. If they are not then yes I guess they are wizi kidogo
Ndio maana nasema waliongeza dimensions… my volumentric weight was different when shipping from the retailer i bought items … savo store wakanishow ati they add sijui bubble wrap sijui nini
I import using my own company and only pay for shipping weight when it arrives so I don’t have these issues. If I feel they have overcharged then I just won’t pay.