Vijana mkikunywa JD chukueni cab. Baba zenu wanaishi for long coz wanakunywa tu chupa tatu ama nne wanadrive home. Unakunywa JD usiku mzima alafu unaendesha gari highway
Good riddance. Ujinga imeisha
just hope no innocents were hurt !
Living live without fear. At least he will stagger in heaven. Kazi Itakuwa kusumbua angel Gabriel ni wapi atatoa lock akingojea kesi yake.
Ikifika 10p.m. just go home.
Ata animals know when the sun sets noma inaweza tokea
pole kwa familia, siku yake ilukuwa imefika - shida ni if your day haijafika you come out of such accidents with life long injuries unabaki ukisumbua familia and society, lakini siku yako ikifika utaenda tu.
Lakini wanaume tuzoe uber, way better than driving drunk
Every man will perish on one way or another, acha matusi. wewe labda utakufia juu ya maraya
ngori
A true Classic …
An irresistible force met an immovable object and a memorable ending resulted …
Nakuru inaongoza kwa vijana kufa road accidents due to drunk driving
Irresponsible drinking…
Nini hukuwa mbaya na hiyo barabara ya Nakuru? Too many people meet their maker on that road.
Young men should be adviced how to act wakipata pesa kidogo. Driving to club kuonesha gari is the lowest level of bonoboism tunawachia rappers and such idiots.
Having a good time sio lazima kuendesha gari ukiwa mlevi, tafuta driver for night if you must go clubbing with car ama use cab. If I cannot remember how I got home last night, sembuse wewe with your “big machine”?!!
nikifika pub na gari halafu nilewe? niiache huko?
YES
Nothing good happens after 8 pm
Uzuri huyo morio alienda akiwa high as a kite I doubt he even felt the cold metal. That said, I reiterate pombe ni mnyoro ya iblisi
One less idiot.
Been there done that…driving while drunk as a skunk…looking back am lucky to be alive na hiyo mchezo sifanyi tena…it happens since enzi za mababa wetu. Mzee anashuka gari unashindwa alifikaje home…ukiuliza anasema gari inajua barabara ya home…
Usiku wa manane kuna fog huteremka hio Barbara na ni mzito zaidi ata ukiwa sober gari huwa ina lose control plus you can’t see anything until it passes.