dubai

A friend went there, amerudi bila kitu ama nikujifanya?

Vitu ni mingi, ni kitu gani ??

Ulikuwa unataka akuletee na simu?

I’m sure amebebe dry spell ya muda mrefu…
Ongea vizuri… atakufungulia roho!

Nyinyi ni wale wa fombe ya bure…bure kabisa

Situmii fombe mimi

Alikuahidi kitu?

Nyinyi ni wale wakungoja mtu alete kakitu?

Your statement is vague.
What do you mean, had he gone for a business trip, a job search, or was he working in Dubai for some time?
How many years was he there for, what job was he doing, was he the breadwinner for his family?
That’s why I tell guys abroad to just cut ties with friends and try build themselves.
You go abroad, come back for holidays and please your friends.
The days you come back and never invested, you start hearing statements like this post.
Stay focused my people, at least invest in a plot while abroad.

Nyinyi ni wale freeloaders, kuombaomba kila siku? Jitegemee mboss!!

Jitegemee buda. Wacha kudandia jasho ya watu wa rika yako.