Can’t put it past Uwesmake not to pull off something like this. [ATTACH=full]58253[/ATTACH]
Na nimeketi na nimevaa leso.
:D:D:D:D…hio lazima ilikuwa “matumbo” and he didn’t want the lady to know.
hakuna kitu tamu kama matumbo ya mbuzi. uliza mimi nausa mbuzi
:D:D:D:D:D:D:D:D:D…i dint anticipate such an ending…imenimalisa. the MO betrays @uwesmake nde
So we will pretend and not see that this @Mathaais is in an only women’s group
iko wanawake wanaeza maliza nyama kilo moja, better play safe
Wako huko na @culture
:D:D:D:D
:D:D
:D:D:D
Saitaaaaaaaaan
Acheni ujinga nyinyi.niliona mwingine pia anasema nko kwa hio group.u
In a past thread you said you are also there.
Ulitoka lini?
@WachaUfala! mistah
:D:D:D:D:D:D
Maybe she’s from … I don’t do fries brigade
she forgot the juicy part…alikamuliwa baadaye.
Hehe i can imagine the scene… Anauma piece tatu na kachumbari alafu anaenda kukiss dem over and over again @uwesmake kam ujitetee
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D akule chips na guarana then anataka kula matumbofry yangu , siwes kubali
Hehehe.
Kuna msee nilikuwa namtengenezea gari once. Kidogo anapotea na akirudi ameshine lips na kuna harufu ya nyam chom inajaza environment. Dude kept that up about five or so times hadi nikamwambia aende tu amalize ndio arudi.
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:eek:
Lakini hii Nairobi wanaume wanaeza kununulia pombe ya 5000 lakini ukiitisha nyama ya 500 mtakosana
Alikuwa anafanya kichinichii na kazi yako haikuwa kula nyama.
Jibaba lizima hafai kula kama boy wa high school anafinyia mandazi kwa mfuko… Hehehe…