Leo game ni moto moto
Man city - everton
Atletico Madrid - celta vigo
Barca-bilbao
Juve-inter
PSG- toulouse
Maoni ya multi bet?
1.6 kupanda
Hapo wins ni za 1
Wekelea History hapa in the name of screenshot, wacha hekaya…
Bayern won
Vile niliwaambia:D:D:Dkwanza vile that buscapor ilikuwa imepewa odds za 3.00!!. Combined with the other two(sure wins) nimeweza kurudisha pesa nilipoteza weekend(madrid got in the way of me and 50k:mad:). Profit ya leo ni 3k. I bet 1k na nikapata 5400 :D:D:D:D Tegeeni match zingine za turkey kesho. Nitawakumbusha with analysis. Kama mngeniskiza instead ya kuniita NV mngekuwa mnacheka mkikula pesa:D:D
Anzeni kuleta predictions za leo usiku.
My take
barca draw or win
Juve win
Both everton and man city to score
Sevilla win
Ngojeni deep analysis :D:D:D
Leta odds za usiku brejin
Atletico vs vigo under 2.5
Uganda wameenda 1-1 nilikuwa nimeweka O2.5
Pssst… Guess what’s coming soon…
Let me analyze too nakuja nazangu
Juve win
PSG win
M.City vs Everton GG
Az Alkmaar win
and another GG
Odds 7.97
huyo mono anapoint
We will be waiting. Wekeend tulichomeka.
Today’s bets? Tuweke pesa wapi?
ooh Bayer Leverkusen not bayern
Urongo yako
Wenye wameeka picks zangu apo juu sai we’re waiting shinning our eyes
475 nakula 3784
Napenda sana
ile siku nimetulia ndio mazuri imefanyika