kuna kadame nime dry fry juzi usiku Na nikakaamkia Jana morning… sasa shida ni kupata hizi PEP juu kuna vile nakashuku… kuna talker anajua mahali naweza wahi hizo dawa around Thika Road?..
Ulipata ngapi KCPE?
Enda thika road mall… Ziko mob sana.
sijawahi kunywa hizo stuff tena…nikiingia pale kwa chemist niitishe dawa gain…I don’t want to go explaining shit to doctors on new year
Eat a lot of mint and cinnamon. It will clear all viruses
buda huwezi pata kwa chemist. enda any govt hospital na itabidi ufanye a lot of explaining lakini utapewa bure. kuna private hospitals wanaweza kuwa nazo lakini huko unanunua. Na uwache hiyo mchezo na maisha yako 2016
:D:D:D:D… come on guys, a fools life is at stake na mnacheza…
luwere soak your dick in warm salty water for 5 min every morning for 30 days
Gosh!
Dr @Luther12 these talkers don’t heed to your advice. At this rate, I don’t see a future generation
Boss,buy mutura ya fifte hivi,Kula with hot Kachumbari facing Mount Kenya every morning when the sun rises and in the evening when it sets.Ngai will pardon you…Thai…Thai…
hakuna hasara hapa…the world needs to be rid of such stupid people…what was he doing with a “suspect” in the first place?..just another troll.
hata pale dandora dumping site ziko mingi. ask @Jirani
Natural selection at work right there.
following for a friend
Clearly, this aint a mistake. …
kifoo kiifooo,
kifo hakina huruma (mbaraka mushehe’s tune)
Huyu anakaa alihepa siku ya exam
kifoo kiifooo,
kifo hakina huruma (mbaraka mushehe’s tune)
anaitwa remmy ongala…aka.sura mbaya
i knew there was something wrong there…and it is mwinshehe…
hebu mbisha ya huyo dame before nikuambie vile utafanya