Now today morning I was hio area ya alfakher lounge, aii jamaa zinatoka ndani ya hio club asubuhi carrying mzinga, 9am , alafu madem walikuwa hapo ni grade A lanye , you can tell by bleaching uso brown and pretty but magoti ya palms black kama ibilisi
Hii ni maisha gani lakini, alafu this guy’s who over indulge in rave huwa wamejiachilia, old guy in his late 30s na jeans imechapa
My guess is @cortedivoire is one of those guys, alafu those club ladies mchana wanakaa zombie na hizo wig zao with excess make up, heri kuwateka usiku wa manane
Hao madame huwa nawatambua. The few times I go out huwa nabonga nao. Unauliza mkikuyu Adi bleacher anatoka wapi anasema she’s Djiboutian, unamuuliza ‘parle vou francais’ anakodoa macho. The same wenye husema they are Ethiopian. Unamuuliza where in Addis ametoka anakimya.
Alafu @Kahawa_vajo anakuja anakushow vile amekula kitu foreign saa hizo no ciku from Roysa ndani
Hii ilikuwa mtindo ya Loft hapo thika rd during post covid. Hadi wakachapilia mabati kwa fence tusione walevi asubuhi tukienda kazi. Nilipita hapo juzi and there was nothing!
in life one has to maliza salary on something, yeye anamaliza yake kwa kupea watu wa range, italian fashion people na waarabu pesa ya mafuta. In life one enjoys the best way, be it pombe, gari, ama kuwa stingy upatie banks hio pesa wafanye nayo kazi wapate profits zao.
Kuna ingine kama hiyo almost opposite Yaya, in the morning as you struggle to get to work ndio watu wanakula smokies na kuharass uber drivers hapo nje.
Looks like hype once in a while. However, ukiona the same person doing that frequently kuna shida. Something has to kill a man.
Lakini napenda ngoma huchezwa uko. The only downside ni service na milayas - this is somehow pushing away the descent ladies.
Your weekend can be any day. Living a life of schooling and raised by employee parents and end up as employees has made us think that tamasha can only happen on Friday and Saturday. Think outside the box and realise that some people make money over the weekend or any day and therefore their weekend falls any day