DRUNK DRIVING, weekend manenoz

Drunk driver smashed into the shops at Delamere Naivasha. Guys buying things at the shop managed to escape unhurt
[ATTACH=full]65166[/ATTACH] [ATTACH=full]65167[/ATTACH]

:eek::eek::eek:

KCG …blame it on the low interest rates

Gari ya loan

Now ile pesa atalipa in damage to property and loss of business ataitana

Mark you, the insurance company might not pay for the damaged vehicle while at the same time loan yangoja

3 Likes

Has just smashed? Kwa hivo naivasha ni usiku bado?

2 Likes

Nani amekwambia gari ni ya loan?

damn! had to be a subaru…

16 Likes

Uko na umama ya salon

5 Likes

Hehehe…
Watu wa Toyota watatumalisa…

6 Likes

ni ka movie

hebu niambie…kwani nini mnatoaga silencer kwa exhaaust ya gari? tuanzie hapo…

6 Likes

this happened what time? nimepitia hapo jana around 8pm…

Insurance haitalipa chochote kama jamaa alikuwa mlevi

Results of drunk driving watu wakijipiga kifua. I hope he gets a monetary thrashing hatawai fanya hivyo tena.

1 Like

Mimi sina Subaru, lakini watu wa Subaru hupenda kuimba kama mosquito za Kayole zile Clichybitus.

21 Likes

:D:D:D:D:D:D

who will teach the young one’s kuenjoy pesa na upole? soon as the pockets start getting warm ujeuri kwisa ingia. Sasa huyu alikuwa anataka kushtua watu Monday, “You guy the stuff we did in naxvegas this weekend…”
Na alijua kudrive juzi tu.

But instead ni yeye ndio atashtuliwa na mwenye gari on Monday. probably leased for the trip. Ana bahati Tom cholmondelay hayuko angekula marisasi za matako for this shit here.

24 Likes

Government or county tenders.
Watu wanakula vizuri.
Wewe shinda tuu hapo.

:D:D:D:Dpretty wee wee umenichekesha…

Kenyan version of drive through shopping.

7 Likes

How will that information help you ?

1 Like