@Meria Mata, I see a bunch of guys in a black navara going around the place collecting donations, is it sanctioned by the Gava?
Ama ni shiny eye anatafta ciringi?
Wote wanabonga greek
Maelezo zaidi please, sijakuelewa
Iko watu hapa wanadai msaada WA kupeleka kilifi, nauliseko kama kuna mpango Kama huo umehalalishwa na serikali? Ama ni tapeli hawa?
Weka mbicha na number plate
Do they have any letter, kaa iko weka screenshot.
Tumeuliza maswali mob wakajitoa, wako na a black Navara, one mungikiress na four ninjas, anyway sisumbui na speculation,
Hao ni mataperi, wasijaribu Kuja estate
Shiny eyes will arise in any occasion,:D:D:D:D
[ATTACH=full]64813[/ATTACH]
Ndio io Dry spell
kweli kenya has gone to the dogs. mungewaitia polisi though haitakuwa a wonder ukipata hao watu ni polisi
:D:D
Hehehe. Funny, the greek organising this is a good friend of mine. The thing started in fb. I deliberately stayed out. They mean well, but they are in a hurry to get results which may be misinterplated.
Just seen the Navara in bamburi, hehehe KCH and the guys are in black t-shirts
Kwani Serikali ndio ilihalalisha hio Njaa/drought?
Naona watu wa nduthi wataongezeka, nafungua biachara ya kuuza vaseline pap.
Misinterplated ndio gani?
Misinterplated ndio gani?
Just a shiny eye trying to make an extra coin
Just make a "collection " bila kuuliza maswali wewe…