I would recommend AA driving school, although sijawahi kanyanga driving school…license nilinunua,nilijifunza na my old man’s Datsun 1200 early 2000.
Unajua basics za gari tayari. What you do is that uende kwa local driving school. Waambie unajua kudrive unataka tu practice ya manual so wasikufunze meza na sijui road signs. We ukifika shughuli yako ni kudrive around kisha unapark unarudi mtaa. That’s how I learned to drive manual
Ukizoea gear positions sasa tafuta route ziko na bumps na milima. Ukiwa mlima katikati park kando kisha ujaribu hill start. Apo kwa kubalnce clutch na mafuta ndio uanze kupanda mlima ndio utajua uko sawa
Dereva kamili wa manual anajulikana pale kwa jam ya mlima ya kileleshwa ukiingia riverside drive, na ile jam ya mlima ukifika Junction mall ukitoka lavington.